CRM Financial Services

CRM Financial Services Tunatoa mradi maalumu wa mikopo ya viwanja na mashamba kwa wanavyuo Tanzania. Pia tunatoa mikopo ya mifugo na furniture kwa watu wote.

Tunatoa huduma za mikopo ya viwanja/mashamba, mifugo na furniture kwa watu wote. Pia tuna mradi maalumu wa kutoa huduma hizo kwa wanavyuo.

Mradi Mpya wa Viwanja Makurunge!!!Kwa Wanavyuo wasiliana nasi kwa namba 0766 860936 ili kupata ofa maalumu ya wanavyuo y...
05/01/2018

Mradi Mpya wa Viwanja Makurunge!!!

Kwa Wanavyuo wasiliana nasi kwa namba 0766 860936 ili kupata ofa maalumu ya wanavyuo ya malipo ya kila mwezi bila malipo ya awali.

Safari za kuona viwanja hufanyika kila Jumamosi.

Uongozi na wafanyakazi wa kampuni za VKP Investment for YOUTH na CRM Financial Services, chini ya kampuni yao ya CRN Fou...
04/01/2018

Uongozi na wafanyakazi wa kampuni za VKP Investment for YOUTH na CRM Financial Services, chini ya kampuni yao ya CRN Foundation wakitembelea na kutoa msaada kwenye kituo cha kulelea watoto cha Malaika Kids kilichopo Mwananyamala.

CRN Foundation inahusika na miradi ya kutoa mikopo ya ardhi na kilimo kwa vikundi pamoja na kuendesha miradi ya kusaidia jamii kwa niaba ya Kampuni za VKP Investment na CRM Financial Services.

Education is the key to success.CRM Financial Services is the key to graduation with a home and financial stability.Set ...
31/12/2017

Education is the key to success.

CRM Financial Services is the key to graduation with a home and financial stability.

Set your goals right this new year to graduate with Honors and a Home.

We Wish You a Happy New Year!!!

Ardhi University tumewafikia. Tuko hapa chuoni leo na kesho (20 & 21 Desemba) kuwaelezea fursa ya kipekee ya mkopo wa vi...
20/12/2017

Ardhi University tumewafikia. Tuko hapa chuoni leo na kesho (20 & 21 Desemba) kuwaelezea fursa ya kipekee ya mkopo wa viwanja na mashamba.

Njoo tuzungumze.

Leo tuko CBE Dar es Salaam Campus. Karibu uje kusikia ofa tuliyonayo ya mikopo ya viwanja na mashamba kwa wanavyuo.
19/12/2017

Leo tuko CBE Dar es Salaam Campus. Karibu uje kusikia ofa tuliyonayo ya mikopo ya viwanja na mashamba kwa wanavyuo.

Mikopo Inapatikana kwa:- Wanavyuo kuanzia mwaka wa pili wa chuo.- Malipo Miaka 6- Haina Malipo ya AwaliKwa Wanavyuo weny...
19/12/2017

Mikopo Inapatikana kwa:
- Wanavyuo kuanzia mwaka wa pili wa chuo.
- Malipo Miaka 6
- Haina Malipo ya Awali

Kwa Wanavyuo wenye Usajili Halali kutoka chuo chochote Tanzania.

Gharama ya Kujisajili Tshs 50,000/-

Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana nasi kwa 0766 860 936

CRM Financial Services inapenda kutambulisha mradi wake mpya ambao ni maalumu kwa wanavyuo. Tunatoa mikopo ya viwanja/ma...
14/12/2017

CRM Financial Services inapenda kutambulisha mradi wake mpya ambao ni maalumu kwa wanavyuo.

Tunatoa mikopo ya viwanja/mashamba, mifugo na samani bila ya riba wala dhamana.

Kwa maelezo zaidi unaweza kutupigia simu 0766 860 936

"Where Dreams Get Wings"

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CRM Financial Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CRM Financial Services:

Share

Category