Eminent Financial Consultant

Eminent Financial Consultant The Eminent Financial Consultants limited is a financial consultancy firm, registered in Tanzania de

Je, unawezaje kuhairisha mtihani wa CPA?
20/09/2019

Je, unawezaje kuhairisha mtihani wa CPA?

Mtahiniwa wa CPA anaweza kuhairisha kufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali. maombi ya kuhairisha mtihani yanapaswa kupelekwa kwenye bodi ya uhasibu.

Zijue taratibu za kufanya Mtihani wa CPA.
30/08/2019

Zijue taratibu za kufanya Mtihani wa CPA.

Kwa kawaida bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) uendesha mitihani ya aina 2 ya CPA. Mitihani hiyo ni Accounting Technician na Professional examination scheme

Kozi za CPA kwa siku za Wikiendi
23/08/2019

Kozi za CPA kwa siku za Wikiendi

Kozi za CPA kwa masomo mbalimbali bado zinaendelea kwenye madarasa ya Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Ilala Jijini Dar es salaam.

Msamaha wa mitihani ya CPA kutoka bodi ya Uhasibu kwa Taasisi zake.
20/08/2019

Msamaha wa mitihani ya CPA kutoka bodi ya Uhasibu kwa Taasisi zake.

Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) kwa kuzingatia weledi wa taaluma yake huwa inatoa baadhi ya msamaha (Exemptions) kwenye mitihani ya CPA.

Ratiba nzima ya CPA Exam review Classes hii hapa
16/08/2019

Ratiba nzima ya CPA Exam review Classes hii hapa

Eminent Financial Consultants wanaendelea na ufundishaji wa kozi za CPA kwenye madarasa ya Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Ilala, Jijini Dar es salaam.

Hizi ndizo sifa za kusoma CPA (T) kwa wahitimu mbalimbali
13/08/2019

Hizi ndizo sifa za kusoma CPA (T) kwa wahitimu mbalimbali

CPA ni kifupi cha “Certified Public Accountant” ikiwa na maana ya Mhasibu aliyekidhi vigezo vya taaluma ya uhasibu katika nchi mbalimbali.

Eminent Financial Consultants na ujio wa Online Courses
09/08/2019

Eminent Financial Consultants na ujio wa Online Courses

Eminent sasa imeandaa mpango maalumu wa kuwa na mfumo wa utoaji kozi zake mtandaoni, yaani ufundishaji wa kozi kwa njia ya Mtandao (Online Course)

Je, una elimu ya chini na umewahi kutamani kuwa mMasibu?Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ni kiwango gani cha elimu k...
19/07/2019

Je, una elimu ya chini na umewahi kutamani kuwa mMasibu?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ni kiwango gani cha elimu kinatosha kuwa Mhasibu? Ni wazi kuwa hili ni swali linalogonga kwenye vichwa vya watu wengi sana.
Jibu ni moja tu, unaweza kutimiza ndoto yako hata k**a una elimu ya darasa la 7. Karibu tutatue tatizo lako.
Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea makala yetu kwa kubofya kiungio kwenye BIO yetu au tupigie kupitia namba +255653419270

16/07/2019

CPA ni kifupi cha “Certified Public Accountant” ikiwa na maana ya Mhasibu aliyekidhi vigezo vya taaluma ya uhasibu katika nchi mbalimbali.

02/07/2019

Kwa kuzingatia wat kukosa elimu juu ya kodi Eminent Financial Consultants wamejidhatiti kufundisha kozi mbalimba zinazohusiana na sheria za kodi nchini.

01/07/2019

Siku 2 zikiwa zimesalia kabla ya kuanza kwa CPA Exam Review Classes for Intermediate level and Final level. Wahi sasa kujiandikisha na kozi hizi

Address

Msimbazi Mseto
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eminent Financial Consultant posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share