株式投資センタ(1)

株式投資センタ(1) 🌟 投資に興味のある方に情報を発信します。
資産の投資収益率を最大化します。 Ndonji Asali Halisi,ni asali bora na halisi kabisa kutoka Tabora. Tunauza asali ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa.

Asali hii ni mbichi,haijapikwa wala haijaongezwa kemikali yoyote,ni original kabisa(GRADE 1). Asali hii ni bidhaa halali kutoka Ndonji Commodities & General Enterprises,ambapo tunafunga na kuisambaza. Ndonji Asali Halisi,kwa sasa inauzwa karibu nchi nzima. Kwa kupata Asali Mbichi yenye kufaa kwa matumizi ya dawa,wasiliana nasi ili upate kilichobora. Mob:+255 657 720 071
+255 765 648 364

+255 788 247 534
E-mail:[email protected]
Ndugu mteja,hakikisha unapata bidhaa bora na halisi kutoka kwetu kwa uhakika baada ya kufanya mawasiliano nasi kwa mawasiliano yaliyekwa hapa tu kwa saa 24. POPOTE ULIPO,TUTAKUFIKIA. It's Honey Time!!

03/01/2024

NEW TRACK
"MAKELELE"
Amapiano
Angalia YouTube
Nisaidie kushare
Usisahau ku-subscribe

07/10/2019

ASALI ASILIA
Ndg mteja,
ASALI ASILIA sasa wanapatikana kwa urahisi kupitia namba za simu zifuatazo:-
0753578056
ama
0685438626.
Mambo Mazuri yanakuja,kaa mkao wakuyapokea.
Toa order yako sasa.
ASALI ASILIA,
popote ulipo tunakufikia.

25/11/2017

VYUMA VIMELEGEA...
Ndg mteja wa Ndonji Asali Halisi,sasa asali inapatikana Kwa bei ya punguzo kutokana na upatikanaji wa bidhaa Kwa wingi.
Hivo bhasi,bei zetu Kwa sasa ni:-
ASALI NYUKI WAKUBWA
1 Lita=tshs 13000/=
1/2 Lita = 6500/=
5 Lita = 50000/=
Kumbuka,mzigo utaletewa mpaka ulipo...
Toa order yako sasa Kwa kupiga simu number 0657720071,0765648364 ama 0623675239
It's Honey Time!

15/07/2017

TANGAZO
Ndg,mpenzi Wa Ndonji Asali Halisi Na Wewe Mteja Wetu.
Tunapenda Kukuarifu Kuwa,kwa Sasa Duka Letu La Kigamboni Limefungwa Na Tunafanya Maboresho Ya Ofisi Kwenye Eneo La Kudumu Pale Toangoma Kongowe.
Huduma Kwa Kipindi Hichi Itakuwa Na Kwa Njia Ya Mawasiliano,toa Order Nasi Tutakufikishia Bidhaa Mpaka Ulipo.
Tunaomba Radhi Kwa Usumbufu Utakaojitokeza.
KWA MAWASILIANO NA ORDER PIGA 0753578056.
Bei Zetu Ni Zile Zile:-
Asali Nyuki Wadogo Lita Ni Tshs 35000/=
Asali Nyuki Wa Kawaida Lita Ni Tshs 15000/=(ukichukua Zaidi Ya Lita5,utapata Punguzo La Bei)
NDONJI ASALI HALISI
It's Honey Time,make The Most Of It!!

JE,WAJUA KUWA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI HUPAMBANA NA UGUMBA?-Asali Halisi inaaminika katika kuamsha hamu ya kuf...
12/10/2016

JE,WAJUA KUWA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI HUPAMBANA NA UGUMBA?
-Asali Halisi inaaminika katika kuamsha hamu ya kufanya mapenzi(nyege)kwa wapenzi wa jinsi zote.
-Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi kwa akina mama wenye uhitaji wa kuzaa.
JINSI YA KUFANYA
1.KWA WAMAMA
-Chukua ASALI HALISI na MDALASINI,uchanganye vema ili kufanya mgando(paste)
-Kisha weka kwenye fizi za meno mgando huo ili unyonywe taratibu kuingia mwilini.
-Fanya hivi kila siku usiku kabla ya kulala kwa walau wiki tatu hata nne.
2.KWA WABABA
-Unashauriwa kunywa Asali Halisi vijiko2(vya chakula)kila siku usiku kwa walau wiki tatu hata nne.
NDONJI ASALI HALISI,tuko hapa kukupatia ASALI HALISI kwa tiba na afya yako.
Lita moja ya nyuki wadogo ni tshs35000/=
Lita moja ya nyuki wakubwa ni tshs15000/=
UKINUNUA ZAIDI YA LITA MOJA,UNAPATA PUNGUZO LA BEI.
Call us 0657720071 or 0765648364
*FREE DELIVERY*
LIKE & SHARE page yetu,waweza kushinda zawadi.
It's Honey Time,make the most of it!!

JE,WAJUA MCHANGANYIKO WA ASALI HALISI NA MDALASINI HUTIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAGONJWA ZAIDI YA 50?NDONJI ASAL...
11/10/2016

JE,WAJUA MCHANGANYIKO WA ASALI HALISI NA MDALASINI HUTIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAGONJWA ZAIDI YA 50?
NDONJI ASALI HALISI,tunakuhabarisha.
Mchanganyiko wa Asali Halisi na Mdalasini ni kiboko kwa tiba na kinga mbalimbali katika mwili wako k**a vile:-
1.Kuongeza nguvu za kiume
2.Kuondoa uchovu sugu
3.Maambukizi kwenye kibofu cha mkojo
4.Ugonjwa wa viungo/maumivu na uvimbe
5.Kuvimba nyayo(Sore feet)
6.Ukungu wa miguu(fungus)
7.Maumivu ya jino
8.Shinikizo la juu la damu
9.Mchafuko wa tumbo(upset stomach)
10.Kupunguza uzito na lehemu
11.Maambukizi katika ngozi
12.Kuondoa chunusi
13.Kukatika kwa nywele
14.Harufu mbaya mdomoni.
15.Kinga ya mwili(Immune sytem)n.k
NDONJI ASALI HALISI,tuko hapa kuhakikisha unapata ASALI original itakayokusaidia katika tiba na afya.
Lita moja ya nyuki wadogo kwa sasa ni tshs35000/=
Lita moja ya nyuki wakubwa kwa sasa ni tshs15000/=
UKINUNUA ZAIDI YA LITA MOJA,UNAPATA PUNGUZO LA BEI.
Call us 0657720071
*FREE DELIVERY*Dar
LIKE & SHARE page yetu,NDONJI ASALI HALISI
It's Honey Time!

27/09/2016

Habari!!
Karibu katika ulimwengu wa MAISHA YENYE AFYA.
NDONJI ASALI HALISI ni asali mbichi na asilia,inayofaa kwa matumizi ya kawaida na tiba.
Je,wajua Asali Halisi inasaidia kupunguza mwili?
Je,wajua Asali Halisi inakinga uvimbe kwenye kizazi na mirija ya uzazi?
Je,wajua Asili Halisi inaongeza hamu ya tendo la ndoa?
Je,wajua Asali Halisi yafanya mwili kuwa mororo?
Je,unajua Asali Halisi inatibu kikohozi?
Je,wajua Asali Halisi inatibu jeraha la moto?
NDONJI ASALI HALISI...
Ndg,tusaidie kusambaza ujumbe huu ili ufike kwa watu wengi wenye uhitaji.
Watu wengi huishia kutopata msaada wa kitiba na afya kupata huduma isiyosahihi kwa kutopata Asali Halisi.
LIKE,COMMENT,SHARE
NDONJI ASALI HALISI
Mpendwa,LIKE page hii uponye mtu.
Mpendwa,SHARE page hii mtu aishi kwa afya.
Kumbuka,waweza shinda T-shirt ama bidhaa toka kwetu.
NDONJI ASALI HALISI
It's Honey Time,make the most of it!!
Live a healthier life!!

Address

Door To Door Service
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255753578056

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 株式投資センタ(1) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to 株式投資センタ(1):

Shortcuts

Share