Blexit Consulting

Blexit Consulting Tax | Accounting | Advisory

18/03/2024

Karibuni tuwaandalie hesabu za biashara na Ritani zake zote

Unawaza jinsi gani utasajili jina la biashara yako? Unawaza jinsi gani utasajili  kampuni  au biashara yako? Sasa ni Rah...
05/03/2024

Unawaza jinsi gani utasajili jina la biashara yako? Unawaza jinsi gani utasajili kampuni au biashara yako? Sasa ni Rahisi na Haraka kupitia mfumo wa ORS. Karibu tukusajilie

13/02/2024

Karibuni kwa huduma bora za uahasibu, ushauri na mahesabu ya kikodi, na usajili wa makapuni na majina ya biashara kwa bei rafiki sana.
.

08/02/2024

We are proffessional Tax Accounting and Advisory consultants.

Taarifa kwa Umma:  Bei mpya za stamp za kodi za kielektroniki. Bei zimeshuka kulinganisha na bei za zaman. Na bei mpya z...
08/02/2024

Taarifa kwa Umma: Bei mpya za stamp za kodi za kielektroniki. Bei zimeshuka kulinganisha na bei za zaman. Na bei mpya zinaanza tumika tangu 24/01/2024. //

Public Notes: Announcement of New Electronic Tax Stamp (ETS)

31/01/2024

Kwa kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka njoo uandae vitabu vya biashara yako na kufanyiwa auditing, Karibu sana

31/01/2024

Tax
-Je unapata changamoto yeyote kwenye
(i) kufanya makadirio ya kodi ya Maputo
(ii) kutuma taarifa za kila mwezi TRA ( Filling of returns)?
(iii) kupata ushauri juu ya tattoo la kikodi?
Basi wasiliana na sisi tukutatulie changamoto yako.

Address

Ubungo External
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Blexit Consulting posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Blexit Consulting:

Share