Ipesa iPesa is an online marketplace lending platform which connects and matches high potential borrowers to lenders (investors). Learn more at www.ipesa.co.tz

Una laki Mbili (200,000/=), Njoo Chukua Kiwanja. *********************MRADI MPYA WA VIWANJA*********************        ...
18/09/2024

Una laki Mbili (200,000/=), Njoo Chukua Kiwanja.
*********************MRADI MPYA WA VIWANJA*********************
VIKINDU CITY - TUJENGE WOTE (VIWANJA VIKO 40 TU)
Hayawi Hayawi ......!!!!!
Tumekusogezea tena mradi uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na wengi wa viwanja Vikundu - Majumba Sita Vianzi.
Viwanja viko 40 tu. Bei ni 675,000/= Tu.

Viwanja hivi sio vya kukosa kwani tumeleta utaratibu ambao wateja wengi wamekuwa wakiutaka kwa hamu sana.
Sasa utaweza KULIPIA KWA AWAMU 200,000/= tu utakabidhiwa kiwanja na kuruhusiwa kuendelea na ujenzi.
Kisha kiasi kilichobaki utalipa kidogo kidogo Kila mwezi ndani ya miezi mitano.
Yaani malipo ya kiwanja chako utalipia 100,0000/= tu kila mwezi ndani ya Miezi MITANO tu.

Piga Simu au Whatsapp Namba: 0763412325.

Viwanja hivi ni MAKAZI TU (SPECIAL RESIDENTIAL PLOT)
Ukubwa wa kiwanja: 50 kwa 40 futi
VIWANJA hivi vina sifa kuu ya barabara kufikika ktk viwanja vyote.
PIA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA: UMEME, MAJI & SHULE

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE: 0763412325

Watu wetu wa nguvu habari gani? Watu wa hili group mmekuwa mkituonyesha ushirikiano sana na sisi ili kurudisha kwa jamii...
28/06/2024

Watu wetu wa nguvu habari gani? Watu wa hili group mmekuwa mkituonyesha ushirikiano sana na sisi ili kurudisha kwa jamii tunatoa kiwanja kimoja bure kwenye huu mradi wetu mpya wa "Vikindu City - Tujenge Wote." Chagua kiwanja kimoja kwenye huu mchoro na utambie kwenye comment kwanini wewe unastahili upewe hicho kiwanja. Atakaye pata likes nyingi ndo mshindi. Tutamtangaza jumatano ya 03-07-2024 saa kumi na mbili jioni na atakabidhiwi kiwanja chake jumamosi 06-07-2024

Note: Vilivyowekwa duara la kijani vimeshachukuliwa.

MRADI MPYA WA VIWANJA.               VIKINDU CITY - TUJENGE WOTE (VIWANJA VIKO 40 TU)Hayawi Hayawi ......!!!!!Tumekusoge...
26/06/2024

MRADI MPYA WA VIWANJA.
VIKINDU CITY - TUJENGE WOTE (VIWANJA VIKO 40 TU)
Hayawi Hayawi ......!!!!!
Tumekusogezea tena mradi uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na wengi wa viwanja Vikundu - Majumba Sita Vianzi. Viwanja viko 40 tu.
Viwanja hivi sio vya kukosa kwani tumeleta utaratibu ambao wateja wengi wamekuwa wakiutaka kwa hamu sana.

Sasa utaweza KULIPIA 200,000/= tu utakabidhiwa kiwanja na kuruhusiwa kuendelea na ujenzi.
Kisha kiasi kilichobaki utalipa kidogo kidogo Kila mwezi ndani ya mwaka mzima.
Yaani malipo ya kiwanja chako utalipia 50,0000/= tu kila mwezi ndani ya MWAKA tu.

Piga Simu au Whatsapp Namba: 0763412325.

Viwanja hivi ni MAKAZI TU (SPECIAL RESIDENTIAL PLOT)
Ukubwa wa kiwanja: 50 kwa 40 futi (200 SQM)
VIWANJA hivi vina sifa kuu ya barabara kufikika ktk viwanja vyote.
PIA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA: UMEME, MAJI & SHULE

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE: 0763412325

Shamba hekari moja (4,900 sqm) Vianzi - Vikindu Milioni 7 tu. Kwa mawasiliano piga: 0763 412 325
16/10/2023

Shamba hekari moja (4,900 sqm) Vianzi - Vikindu Milioni 7 tu. Kwa mawasiliano piga: 0763 412 325

WAKATI MZURI WA KUNUNUA KIWANJA NI LINI??? TUJIULIZE. Tupigie au Whatsapp: 0763 412 325Wakati mzuri wa kununua kiwanja i...
15/08/2023

WAKATI MZURI WA KUNUNUA KIWANJA NI LINI??? TUJIULIZE. Tupigie au Whatsapp: 0763 412 325
Wakati mzuri wa kununua kiwanja ilikuwa jana (siku zilizopita). Wakati mwingine mzuri zaidi ni SASA. Jipatie Kiwanja kuanzia 50ft by 40ft mpaka hekari. Mradi wetu huu mpya uko VIANZI VIKINDU Karibu na Changanyikeni. HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZINAPATAKINA k**a Shule, Maji, Zahanati, Umeme nk. . Kwa mawasiliano au maelezo zaidi Tupigie au Whatsapp: 0763412325 0763412325 au Temebelea ofisi zetu zilizoko Mtaa wa Congo & Faru. .

31/07/2023

K**a una mpango wa kununua Kiwanja au Shamba hivi karibuni SOMA KWA MAKINI HII ITAKUSAIDIA*
Tumekuwa tukiuza viwanja kwa muda sasa, nilichogundua ni kuwa watu wengi hasa wanaonunua viwanja maeneo yenye ukubwa wa ujazo wa juu *(HIGH DENSITY)* wanapata shida sana kwenye vipimo sahihi vya ukubwa wa viwanja.

*(HIGH DENSITY)* hapa huanzia 599 sqm hadi 400 sqm kushuka chini; Maeneo haya huwa na uwingi wa watu kwa kuwa kila kiwanja kitakua kimechukua nafasi ndogo.

Mtu anaangalia ukubwa wa namba iliyowekwa bila kujua ni aina gani ya kipimo kinachotumika. Nachomaanisha watu wengi wanaamini na kuendelea kuaminishwa na madalali na wenye viwanja wasiowaaminifu kuwa kiwanja chenye ukubwa 50ft (futi) kwa 40ft ni kikukubwa zaidi ya chenye ukubwa wa 20m (mita) kwa 20m ambapo si UKWELI.

USHAURI
Katika kupima Urefu,Upana au Ukubwa wa Eneo,
Tunaongozwa na vipimo vinavyokubalika na tulivyoridhia k**a Nchi kuwa ndio kiwango sahihi.-SI Unit (International standards of units). Aidha mamlaka ya Ardhi inatambua na hupima maeneo ya Viwanja kwa vipimo vya aidha Futi au Mita.

Pendelea kupima au kujua ukubwa wa eneo wa kiwanja chako au kiwanja unachotaka kununua kwenye mita (m) ambayo itakusaidia kutafuta ukubwa wa eneo kwenye Mita za Mraba (square metres). Kupata Ukubwa wa Eneo: Kanuni ni (Urefu kuzidisha na Upana). Pia Tambua:
*Mita (m) 1 = Futi (ft) 3.3
*20m kwa 20m = Mita za Mraba 400(sqm)
* 50ft kwa 40ft = Mita za Mraba 186(sqm)
Kipimo cha eneo la Ardhi lenye ukubwa wa Ekari moja ni Eneo LENYE jumla ya Mita za Mraba 4,900 ( i.e Mita za Mraba Elfu Nne na Mia Tisa)

Hakuna kipimo cha Hatua hayo ni mazoea yasiyofuata kanuni na taratibu za mamlaka Halali ya Ardhi lakini pia, Kipimo chochote kingine kitakachokuwepo nje ya SI UNITS hakitambuliwi na Mamlaka.
Baada ya kusema hayo natumaini utakuwa umepata elimu kidogo itakayokusaidia kwenye ununuzi wa viwanja ili usiendelee kuibiwa. K**a una swali, ushauri, marekebisho na maelezo ya ziada toa kwenye comments. Kwa mawasiliano zaidi tupigie/whatsapp: 0763412325. K**a utahitaji kiwanja Vikindu tuna viwanja vitano (5) vimebaki 50ft kwa 40ft kwa bei ya ofa ya 650,000/=, wahi mapema na usikose hii, tupigie/whatsapp: 0763412325. Karibuni

03/07/2023
Nyumba inauzwa VIANZI, VIKINDU. Nyumba ina vyumba vinne(4) pamoja na CHOO & BAFU (PUBLIC) ndani. Bei Milioni 17 TSHS. Uk...
03/07/2023

Nyumba inauzwa VIANZI, VIKINDU. Nyumba ina vyumba vinne(4) pamoja na CHOO & BAFU (PUBLIC) ndani. Bei Milioni 17 TSHS. Ukubwa wa eneo 25m by 20m (500 sqm). Maongezi yapo, pia kulipa kwa awamu kunaruhusiwa. Pia ukitaka kuongeza eneo inawezekana. Ndani ni FULL TILES. Hati ya mauziano serikali ya Mtaa. WAHI UJIOKOTEE DODO. MAISHA NI NYUMBA, WEKEZA. Kwa mawasiliano au maelezo zaidi Tupigie au Whatsapp: 0763412325 0763412325.

14/06/2023

Je, una laki moja (Tshs. 100,000/=) na ungependa kumiliki kiwanja, Tupigie au Whatsapp: 0763412325. iPesa tumeanzisha utaratibu wa kutengeneza vikundi vya watu kumi (10). kila mwanakikundi atachangia pesa kidogo kidogo kulingana na uwezo wake ili kufanikisha lengo la kumiliki EKARI moja ya ardhi (4,900 sqm) ambayo itagawanya kwa usawa na kila mwana kikundi kujipatia kiwanja cha ukubwa wa 22m kwa 22m (484 sqm). Nafasi zimebaki chache kwani tumebakiwa na hekari tatu (3) tu. Muda wa malipo ni mpaka miezi sita. Mtakabidhiwa ekari yenu mara tu baada ya kulipa malipo ya kwanza hatungoji mpaka mmalize malipo. Mradi wetu huu uko VIANZI VIKINDU Karibu na Changanyikeni. HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZINAPATAKINA k**a Shule, Maji, Zahanati, Umeme nk. . Kwa mawasiliano au maelezo zaidi Tupigie au Whatsapp: 0763412325 0763412325 au Temebelea ofisi zetu zilizoko Mtaa wa Congo & Faru. .

K**a ndo unaona tangazo hili jua umeshachelewa, lakini usifanye hilo kosa tena kwa mara nyingine.Ewe Mtanzania huu ndio ...
13/06/2023

K**a ndo unaona tangazo hili jua umeshachelewa, lakini usifanye hilo kosa tena kwa mara nyingine.Ewe Mtanzania huu ndio muda sahihi wa kununua kiwanja kwenye mradi wetu mpya ulioko VIKINDU VIANZI. Njoo kwetu tukuuzie viwanja kwa bei nafuu Sana, Sifa za viwanja hivi
1.TAMBALALE
2.UDONGO WAKE NI MCHANGA
3.UMEME UPO KARIBU
4.VIWANJA VIMEPIMWA NA VINAFIKIKA
5.HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIKO k**a Shule, Maji, Zahanati, Umeme nk.
Viwanja vipo Vianzi Karibu na Changanyikeni. KM 5 kutoka VIKINDU Barabara ya Kilwa road Kwa maelezo zaidi Piga Simu Namba au Whatsapp 0763412325.
BEI ZA VIWANJA
1.Kiwanja cha 13m kwa 15m (200sqm)= 700,000/= Malipo kwa Awamu 850,000/=
2.kiwanja cha 15m kwa 15m (225sqm)= 1,000,000/= Malipo kwa Awamu 1,200,000/=
3.kiwanja cha 15m kwa 20m (300sqm)= 1,500,000/= Malipo kwa Awamu 1,700,000/=
4.kiwanja cha 20m kwa 20m (400sqm)= 1,800,000/= Malipo kwa Awamu 2,000,000/=
N.B: Ukinunua kiwanja kwetu cash utazawadiwa aidha Matofali 100 au Mbuzi Mkubwa Mmoja. Karibu sana 0763412325 0763412325

   Wekeza na iPesa, Furahia riba ya kuvutia hadi 50%.Pata gawio kila mwezi kwa mwaka mzima (miezi 12)Fursa ya kuwekeza h...
25/06/2019


Wekeza na iPesa, Furahia riba ya kuvutia hadi 50%.
Pata gawio kila mwezi kwa mwaka mzima (miezi 12)
Fursa ya kuwekeza hadi miaka miwili.
Gundua Mali Mpya. Wekeza katika Watu.






Address

Congo & Faru Street, Kariakoo
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 07:00

Telephone

+255 763 412 325

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ipesa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ipesa:

Share