Fair Tax Solutions

Fair Tax Solutions "Your trusted partner in tax consultancy , ensuring compliance and maximizing financial success"

13/05/2026

UMEPOKEA TRA ASSESSMENT KUBWA? Usikubali kulipa kabla ya kujua haki yako

Wafanyabiashara wengi hupoteza fedha nyingi kwa sababu ya kukubali makadirio ya kodi bila kuyachunguza kwa kina.

K**a unaamini assessment ya TRA si sahihi, sheria inakupa haki ya kufanya Tax Objection ambayo njia rasmi ya kupinga makadirio ya kodi kwa ushahidi na nyaraka sahihi.

Tax Objection Inaweza kusaidia:
- Kupunguza kiwango cha kodi kilichokadiriwa
- Kuepuka penalties zisizo za lazima
- Kulinda mtiririko wa fedha wa biashara yako

Lakini wengi huchelewa kuchukua hatua au kuwasilisha objection zisizoandaliwa kitaalamu.

Karibu Fair Tax Solutions tutakusaidia kuandaa:
- Tax Objections
- Tax Appeals
- Ushauri na utatuzi wa migogoro ya kodi

Wasiliana nasi leo tulinde biashara yako mapema kabla haijachelewa.

23/04/2026

Wafanyabiashara wengi wanapoteza pesa kimya kimya

Sio kwa sababu biashara hazifanyi vizuri, bali kwa makosa ya kodi

Je, wewe uko sahihi kwenye masuala ya kodi?

Mapato zaidi ya milioni 200 kwa mwaka? VAT ni lazima
Una wafanyakazi? PAYE & SDL ni kila mwezi

Ukikosea au kuchelewa
TRA hawasubiri faini na riba zinaanza mara moja

Usiache biashara yako ipoteze pesa kwa makosa yanayozuilika

Fair Tax Solutions wapo kwa ajili yako:
✔️ Kufile kwa usahihi
✔️ Kuepuka penalties
✔️ Kusimamia kodi zako kitaalamu

Biashara yako ikue bila stress za kodi

Wasiliana na Fair Tax Solutions leo kabla faini hazijaanza kukutafuta

08/04/2026

Wafanyabiashara & Wamiliki wa Makampuni, zingatieni haya

Financial statements zilizo sahihi zinaanza na taarifa kamili na zilizopangiliwa vizuri. Hakikisha una kumbukumbu muhimu k**a:
Sales records
Expenses (risiti & ankara)
Bank statements
Assets & liabilities
Mishahara ya wafanyakazi
Taarifa za kodi

Taarifa sahihi = maamuzi bora ya biashara + uwazi wa kifedha + kuepuka matatizo ya kikodi.

Tunakusaidia kuandaa financial statements kwa usahihi na kwa wakati. Wasiliana nasi Fair Tax Solutions tunapatikana Dar es Salaam, Mnazi Mmoja, New Ushirika Tower, floor 12
au wasiliana nasi 0654144400

02/04/2026

🚨 COMPLIANCE DEADLINE REMINDER – APRIL 2026 🚨
Wafanyabiashara na wamiliki wa makampuni mnakumbushwa kutimiza wajibu wenu wa kodi kwa wakati ili kuepuka adhabu na riba zisizo za lazima. Tafadhali zingatieni tarehe muhimu: PAYE & SDL zinatakiwa kufaili na kulipwa ifikapo tarehe 07 April 2026, na VAT ifikapo tarehe 20 April 2026. Usichelewe, kwani kuchelewa kuwasilisha au kulipa kodi kunaweza kusababisha penalties na interest zisizohitajika. Kaa compliant na uendeshe biashara yako bila stress. Ikiwa unahitaji msaada, Fair Tax Solutions tupo tayari kushughulikia masuala yako ya kodi kwa weledi na ufanisi. Wasiliana nasi kupitia +255 654 144 400 au tembelea ofisi zetu zilizopo Dar es salaam, Mnazi Mmoja, New Ushirika Tower, 12 floor
Karibuni sana

24/03/2026

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUFANYA MAKADIRIO YA KODI (PROVISIONAL TAX)
1. Kuwasilisha kwa wakati makadirio ya kodi
Hakikisha unawasilisha Provisional Tax Return ndani ya muda uliopangwa kisheria. Kwa kawaida, kipindi cha uwasilishaji huanza tarehe 1 Januari hadi 31 Machi.
2. Kukadiria mapato kwa usahihi
Fanya makadirio ya mapato kwa kuzingatia hali halisi ya biashara yako, mwenendo wa mapato, pamoja na gharama za uendeshaji.
3. Kuepuka makadirio ya chini kupita kiasi
Kukadiria mapato chini sana kunaweza kusababisha adhabu (penalties) pamoja na riba (interest).
4. Kuepuka makadirio ya juu kupita kiasi bila sababu
Epuka kukadiria mapato juu bila sababu za msingi ili kuepuka kulipa kodi zaidi ya inavyostahili. Tofauti kubwa ya makadirio inaweza kusababisha tathmini ya ziada.
5. Kufanya marekebisho inapohitajika
Ikiwa kutatokea mabadiliko katika biashara (ongezeko au upungufu wa mapato), hakikisha unafanya marekebisho ya makadirio kwa wakati.

Kwa ushauri zaidi na ili kuepuka makosa yanayoweza kuigharimu biashara yako, wasiliana nasi kupitia 0654 144 400.

Kumbuka: Mwisho wa kuwasilisha makadirio ya kodi ni tarehe 31 Machi.

Eid MubarakTunawatakia wateja wetu wote Eid njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele. Asanteni kwa kuendelea kutuamin...
21/03/2026

Eid Mubarak
Tunawatakia wateja wetu wote Eid njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele. Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kuchagua huduma zetu kila siku. Tunathamini sana ushirikiano wenu.

Katika sikukuu hii tukufu, tunawatakia wakati mwema pamoja na familia na wapendwa wenu, pamoja na mafanikio zaidi katika kila mnachofanya.

Karibu sana kuendelea kufanya nasi – tupo hapa kuhakikisha safari na huduma zenu zinakuwa rahisi, salama na zenye mafanikio.

📞 Wasiliana nasi: 0654144400

06/03/2026

Wafanyabiashara wengi hupata penalties na Additional Taxes kutoka TRA kwa sababu Financial Statements zao hazijaandaliwa vizuri au kwa wakati.
Kumbuka, Financial Statements za mwaka 2025 zinatakiwa kuandaliwa na kuwasilishwa kabla ya tarehe 30 June 2026.
K**a bado hujaandaa, karibu Fair Tax Solutions (FTS) tukusaidie kuandaa Financial Statements zako kwa usahihi na kwa wakati, ili kuepuka adhabu na Kodi za Ziada kutoka TRA.
Sisi tunahakikisha kuwa Mauzo na Manunuzi yako yanaendana na taarifa zilizopo kwenye mifumo ya TRA, hivyo kupunguza hatari ya Additional Taxes.
✅ Epuka Additional Taxes.
✅ Linda biashara yako.
✅ Fanya kazi na wataalamu – Fair Tax Solutions (FTS)

05/03/2026
05/03/2026

Wafanyabiashara wengi hupata penalties na Additional Taxes kutoka TRA kwa sababu Financial Statements zao hazijaandaliwa vizuri au kwa wakati.
Kumbuka, Financial Statements za mwaka 2025 zinatakiwa kuandaliwa na kuwasilishwa kabla ya tarehe 30 June 2026.
K**a bado hujaandaa, karibu Fair Tax Solutions (FTS) tukusaidie kuandaa Financial Statements zako kwa usahihi na kwa wakati, ili kuepuka adhabu na Kodi za Ziada kutoka TRA.
Sisi tunahakikisha kuwa Mauzo na Manunuzi yako yanaendana na taarifa zilizopo kwenye mifumo ya TRA, hivyo kupunguza hatari ya Additional Taxes.
✅ Epuka Additional Taxes.
✅ Linda biashara yako.
✅ Fanya kazi na wataalamu – Fair Tax Solutions (FTS)

27/02/2026

We wish all our customers a blessed Ramadan and a blessed Lenten season. We pray that Almighty God grants you peace, good health, and abundant blessings during this special time of prayer and spiritual growth. Ramadan Kareem and a grace filled Lent

12/02/2026

Valentine is here, celebrate love beyond the ordinary.
From the white beaches of Zanzibar to luxury moments in Dubai, magical Cappadocia mornings, and romantic Paris… your perfect getaway awaits.
We take care of air ticketing, passport & visa applications, and travel insurance so you travel stress free.
Couples, singles, or besties, this trip is for you.
Let FTS Adventure Style plan everything smoothly and fast.
DM now to book before seats fill
💕

Address

P. O. BOX 6118
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fair Tax Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share