29/11/2019
Siku ya leo HONEST LTD tumepata Fursa ya kuhudhuria Kikao maalum Cha kujadili utekelezaji wa Sheria mpya ya Microfinance kilichofanyika New African Hotel Posta Jijini Dar es salaam moja ya mambo muhimbu tuliyojadili ni utekelezaji kwa Sheria tayari imeshaanza kazi tangu Tarehe 1 Novemba, 2019 ambapo Taasisi zote za Ukopeshaji watatakiwa kuwa chini ya usimamizi wa Sheria mpya ambapo mtaji kima Cha Chini kwa Taasisi ndogo ni milioni 20 na SACCOS milioni 10 na VICOBA ni milioni 5 pia Sheria imekasimu mamlaka kwa Taasisi husika K**a zilivyoainishwa kwenye Kanuni na pia Taasisi zote zimepewa kipindi Cha mpito kwa Miezi 12 wawe tayari washa Comply na Sheria Mpya K**a Kampuni tunaahidi kutekeleza ili kuendana na Standard za Wizara ya FEDHA na Bank of Tanzania