The National Board of Accountants and Auditors ; 1972 - 2022

The National Board of Accountants and Auditors ; 1972 - 2022 Celebration of 50 Years Anniversary

Tarehe 27 Mei 2026, washiriki wa Semina ya Pamoja ya NBAA na BOT walipata fursa ya kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro na k...
29/05/2026

Tarehe 27 Mei 2026, washiriki wa Semina ya Pamoja ya NBAA na BOT walipata fursa ya kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro na kujionea uzuri wa urithi wa asili wa Tanzania. 🌍🦁

Ziara hiyo ilitoa nafasi ya kujenga mahusiano ya kitaaluma, kubadilishana uzoefu pamoja na kupumzika nje ya vikao vya semina. Aidha, ushiriki katika ziara hiyo umechangia kuongeza mapato ya Serikali kupitia sekta ya utalii na uhifadhi wa mazingira.

NBAA inatoa shukrani za dhati kwa washiriki wote waliofanikisha ziara hiyo kuwa ya kipekee na yenye kumbukumbu nzuri.

28/05/2026

On 27th May 2026, participants of the NBAA & BOT Joint Seminar had an unforgettable experience exploring the breathtaking Ngorongoro Conservation Area. 🌍🦁

The tour provided a unique opportunity for networking, relaxation and appreciating Tanzania’s natural heritage while strengthening professional connections beyond the seminar sessions. The visit also contributed to Government conservation and tourism funds through participation in one of the country’s globally recognized conservation destinations.

NBAA extends sincere appreciation to all participants who joined and made the tour experience memorable.

Moving The Professional Forward.

NBAA and BOT extend sincere appreciation to all sponsors and partners supporting the NBAA & BOT Joint Seminar which took...
28/05/2026

NBAA and BOT extend sincere appreciation to all sponsors and partners supporting the NBAA & BOT Joint Seminar which took place from 25th–27th May 2026 at the Arusha International Conference Centre (AICC).

Your support continues to play a vital role in advancing the seminar theme: “Advancing Sustainable Finance: Integrating ESG and Technology in Accounting and Financing.”

Special thanks to Coca-Cola Beverages Tanzania Limited, National Social Security Fund (NSSF), Tanzania Securities Limited (TSL), iTrust Finance Limited, Hifadhi Scheme, Deposit Insurance Board (DIB), Dar es Salaam Stock Exchange (DSE), Azania Bank and all stakeholders for partnering with NBAA and BOT in making this seminar impactful and successful.

Moving The Professional Forward.

28/05/2026

Semina ya Pamoja ya NBAA na Benki Kuu ya Tanzania, BOT iliyofanyika kuanzia tarehe 25 – 27 Mei 2026 imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, ikiwa jukwaa muhimu la kubadilishana uzoefu, maarifa na mjadala kuhusu uendelezaji wa fedha endelevu, ESG pamoja na matumizi ya teknolojia katika taaluma ya uhasibu na fedha.

NBAA inatoa shukrani za dhati kwa washiriki wote, wawezeshaji, wadau na washirika waliochangia kufanikisha semina hii muhimu. Ushiriki na mchango wenu umeendelea kuimarisha maendeleo ya taaluma na sekta ya fedha nchini.

ESG Arusha

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid al-Adha. 🌙...
27/05/2026

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid al-Adha. 🌙✨
Eid Mubarak! 🤍

25th – 26th May 2026 | The NBAA & BOT Joint Seminar sessions held at the Arusha International Conference Centre (AICC) f...
27/05/2026

25th – 26th May 2026 | The NBAA & BOT Joint Seminar sessions held at the Arusha International Conference Centre (AICC) featured insightful and engaging presentations from distinguished professionals and experts in accounting, finance, sustainability, governance and technology.

Presenters included CPA Angyelile Tende, Director of Standards, Research and Technical Services at NBAA; Joseph Paul Kenene, Financial Analyst (Climate Change & Environmental Sustainability); CPA Dr. Alfred Mkombo, Director of Research, Policy and Planning at CMSA; Rahmat Gideon Mandara, Accountant at the Bank of Tanzania; Hellen John Tumwesige, Accountant and Sustainability Reporting Professional at the Bank of Tanzania; Dr. Method Steven Simbachawene, Assistant Manager in the Financial Stability Department at the Bank of Tanzania; Ayubu Asumwisye Kamwela, Data Analyst & AI Product Portfolio Specialist at the Bank of Tanzania; Grayson Aron Moshi, Registration Officer at BRELA; Mecklaud Edson, Governance, Audit, Risk Management and Capital Markets Professional; and FCPA Eric Sambu, Managing Director of SGA Security Tanzania.

The sessions continued to provide a valuable platform for knowledge sharing, professional growth and meaningful discussions on sustainable finance, ESG and technology in accounting and finance. Special thanks to all presenters and participants for their valuable contributions and continued support towards the success of the seminar.

Accounting Finance Arusha

PHOTO RECAP: The NBAA and BOT joint seminar,   25th – 27th May 2026 at the Arusha International Conference Centre (AICC)...
25/05/2026

PHOTO RECAP: The NBAA and BOT joint seminar, 25th – 27th May 2026 at the Arusha International Conference Centre (AICC), involves giving out materials ( Bag and T- shirts) after registration. Participants will also earn 24 CPD Hours

The theme of the seminar is “Advancing Sustainable Finance: Integrating ESG and Technology in Accounting and Finance,” featuring an opportunity to experience the Ngorongoro Conservation Area tour on 27th May 2026.

25/05/2026

25th May 2026 marked as day 1 of the NBAA & BOT Joint Seminar at the Arusha International Conference Centre (AICC), bringing together accounting, finance and business professionals under the theme “Advancing Sustainable Finance: Integrating ESG and Technology in Accounting and Finance.”

The seminar was graced by the Guest of Honour, Governor of the Bank of Tanzania, Mr. Emmanuel M. Tutuba, as participants engage in insightful discussions on the future of sustainable finance and technological transformation within the profession.

Accounting Finance Arusha

25/05/2026

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), inawakaribisha wataalamu wa uhasibu, fedha na biashara kushiriki Semina ya Pamoja ya NBAA na BOT itakayofanyika tarehe 25–27 Mei 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Ikiwa na kaulimbiu “Kuendeleza Ufadhili Endelevu: Kuunganisha ESG na Teknolojia katika Uhasibu na Fedha,” semina hii itatoa jukwaa la kujifunza, kubadilishana uzoefu na kujadili mustakabali wa mifumo endelevu ya fedha nchini Tanzania na kimataifa.

Washiriki watapata saa 24 za CPD pamoja na fursa ya kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro tarehe 27 Mei 2026.

Jisajili sasa na uwe sehemu ya mkutano huu muhimu wa kitaaluma.

Address

Bibi T**i Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The National Board of Accountants and Auditors ; 1972 - 2022 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category