Fedha na Malengo

Fedha na Malengo Elimu na ushauri wa usimamizi na udhibiti wa fedha binafsi, akiba na uwekezaji ili kufikia malengo. Penye nia pana njia.

Fedha na Malengo ni ukurasa unaotoa mwongozo wa mikakati ya kuweka akiba na uwekezaji kwa kutathmini vipaumbele mbalimbali ili kuweza kufikia malengo muhimu ya muda mfupi na muda mrefu. Nia ni kuongeza ufahamu kwa waajiriwa na waliojiajiri ili kuwezesha watu wengi zaidi kufurahia matunda ya juhudi zao. Kwa kuweka mikakati thabiti mtu yeyote mwenye kipato chochote anaweza kuianza safari ya kufikia

malengo yake muhimu. Kwa mfano akiba ya uzeeni, kuwekeza kwenye hisa, uwekezaji wa pamoja kama UTT, umuhimu wa bima ya maisha n.k. Kwa maelezo zaidi SMS au Whatsapp 0755 410000

21/03/2026

Fedha. Malengo. Utulivu.
Miaka 11 ya Elimu na Ushauri.

21/03/2026

Kanuni za uwekezaji:
Anza mapema, anza sasa hivi. Unavyozidi kuchelewa ndivyo faida ambayo ingepatikana inavyozidi kupungua.
Whatsapp 0755410000


26/08/2025

Uhuru wa kifedha unapatikana kwa wanaojielimisha kuhusu masuala ya fedha na kuifanyia kazi elimu hiyo.



Whatsapp 0755 410 000

22/04/2025

Kanuni za uwekaji akiba:
Hakikisha unaweka akiba ya dharura



Whatsapp 0755410000

18/04/2025

Kanuni za uwekaji akiba:
Lipa madeni yenye riba kubwa kwanza



Whatsapp 0755410000

15/04/2025

Kanuni za uwekaji akiba:
Amua asilimia ngapi ya kipato itawekwa akiba kila upatapo



Whatsapp 0755410000

11/04/2025

Kanuni za uwekaji akiba:
Tenga akiba kwanza kabla ya kuanza kutumia kipato



Whatsapp 0755410000

08/04/2025

Kanuni za uwekaji akiba:
Weka akiba kila upatapo fedha



Whatsapp 0755410000

04/04/2025

Kanuni za uwekaji akiba:
Anza kuweka akiba hata k**a ni kiasi kidogo



Whatsapp 0755410000

01/04/2025

Tofauti kubwa kati ya akiba na uwekezaji ni katika kiwango cha faida na pia kiwango cha hatari kinachoweza kupelekea hasara ya mtaji.



Whatsapp 0755 410 000

29/03/2025

Akiba sio uwekezaji bali ni mwanzo wa safari ya kuelekea kwenye uwekezaji.


Whatsapp 0755410000

26/03/2025

Akiba kwa kawaida ni salama haina hasara kubwa lakini ina faida ndogo sana. Uwekezaji una faida kubwa lakini pia faida hii inaambatana na hatari ya uwezekano wa kupata hasara.


Whatsapp 0755410000

Address

P. O. Box 2016
Arusha

Telephone

+255755410000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fedha na Malengo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fedha na Malengo:

Share