Mdarisi - CPA Wambugu Yusuf

Mdarisi - CPA Wambugu Yusuf Mwalimu. Mhasibu. Manahabari (Teacher. Accountant. Journalist)

Ilikuwa raha sana kuwa mfawidhi(MC) katika hafla ya shukrani ya Elizabeth Kalunda Muvui mwenyekiti wa sasa wa ICPAK Hafl...
11/06/2026

Ilikuwa raha sana kuwa mfawidhi(MC) katika hafla ya shukrani ya Elizabeth Kalunda Muvui mwenyekiti wa sasa wa ICPAK
Hafla ilifana, iliburudisha, iliridhisha. Hongera sana Prof na ahsante sana.

09/06/2026
Iwapo hukujua kwamba mimi ni mfawidhi(mshereheshaji) katika hafla rasmi, soma hili. Ahsante sana Elizabeth Kalunda Muvui...
07/06/2026

Iwapo hukujua kwamba mimi ni mfawidhi(mshereheshaji) katika hafla rasmi, soma hili. Ahsante sana Elizabeth Kalunda Muvui kwa utambuzi huu.

ICPAK

MUNGU TULIWAZE!Mkasa umetukia,  twaomboleza nchini,Wanetu kaangamia, Utumishi kwenye bweni,Tumeinama kulia, kujiuliza kw...
29/05/2026

MUNGU TULIWAZE!
Mkasa umetukia, twaomboleza nchini,
Wanetu kaangamia, Utumishi kwenye bweni,
Tumeinama kulia, kujiuliza kwa nini,
Nafsi changa kapotea, wakutuliwaza nani,
Mungu tufute machozi, makiweni Utumishi!

Malenga wa mlimani

When the client's tax account 'refuse' to balance in the office, it's done in the shamba.The annual tax filing deadline ...
28/05/2026

When the client's tax account 'refuse' to balance in the office, it's done in the shamba.
The annual tax filing deadline is fast approaching, 30th June 2016. Reach out to Arichum Consulting for assistance.

TUHAMIE WAPI?Inachemka dunia, inatisha lau jini,Matukio ya belua, yanaatua moyoni,Ukatili umejaa, mauaji hadharani,Haipo...
28/05/2026

TUHAMIE WAPI?
Inachemka dunia, inatisha lau jini,
Matukio ya belua, yanaatua moyoni,
Ukatili umejaa, mauaji hadharani,
Haipo tena tamaa, limeisha tumaini,
Mungu wetu tunaomba, utulindie uhai,

Malenga wa mlimani

🌙✨ Eid Al Adha Mubarak!As we celebrate this special occasion of faith, sacrifice, and compassion, we extend our warmest ...
27/05/2026

🌙✨ Eid Al Adha Mubarak!

As we celebrate this special occasion of faith, sacrifice, and compassion, we extend our warmest wishes to you and your loved ones. May this Eid bring peace, prosperity, unity, and abundant blessings to your family and business.

From all of us at Arichum Consulting, Happy Eid Al Adha!

📞 +254 723 298 117
📧 [email protected]
🌐 www.jwarichum.com



Wambugu Yusuf - Malenga

TUMEZOEA DHIKI!!Kwenu twajisalimisha, mtakavyo tufanyeni,Kipi tena cha kutisha, machungu kazoeeni,Kila siku mwatuwasha, ...
26/05/2026

TUMEZOEA DHIKI!!
Kwenu twajisalimisha, mtakavyo tufanyeni,
Kipi tena cha kutisha, machungu kazoeeni,
Kila siku mwatuwasha, maamuzi ya kuhini,
Makaburi mwashibisha, kwa wale tulozaeni,
Twamsubiri Rahimu, kisasi chetu kulipa,

Malenga wa mlimani

MJA BILA SHUKRANINilikufaa juani, kaniacha mvuani,Mja bila shukurani, huna bei ya hisani,Nilikuwa na imani, kwamba wewe ...
21/05/2026

MJA BILA SHUKRANI
Nilikufaa juani, kaniacha mvuani,
Mja bila shukurani, huna bei ya hisani,
Nilikuwa na imani, kwamba wewe ni mwandani,
Kumbe hujui thamani, ya akiba ya usoni,
Si neno nitaridhika, nikuachie Karima,

Malenga wa mlimani

Address

Thika
001000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mdarisi - CPA Wambugu Yusuf posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mdarisi - CPA Wambugu Yusuf:

Share

Category